BBI: Baadhi ya viongozi waliochaguliwa katika eneo la mlima Kenya wameapa kutoa uhamasisho

Baadhi ya viongozi waliochaguliwa katika eneo la mlima Kenya wameapa kuwaelimisha na kuwahamasisha wakazi kuhusu yaliyomo kwenye ripoti ya jopo la BBI. Viongozi hao ambao wanaunga mkono ripoti hiyo walisema watawahusisha viongozi wengine katika juhudi zao za kutoa uhamasisho kuhusu hati hiyo ili kuhakikisha inapitishwa.

  

Latest posts

MCK launches Industrial Placement Program

KBC Videos

Tiaty residents demand the release of MP Kamket

KBC Videos

Motorists Association of Kenya want EPRA disbanded

KBC Videos

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More