Home Podcasts Biashara Wiki Hii: Maonyesho ya Biashara Nairobi yaandaliwa

Biashara Wiki Hii: Maonyesho ya Biashara Nairobi yaandaliwa

0
President William Ruto at the Nairobi ASK Trade Fair. Photo/ Jackson Mnyamwezi
President William Ruto at the Nairobi ASK Trade Fair. Photo/ Jackson Mnyamwezi

Biashara yalinoga katika maonyesho ya wiki moja ya kimataifa ya biashara na kilimo yaliyoandaliwa jijini Nairobi huku zaidi ya kampuni 500 zikishiriki. Kampuni ya East African Breweries imefanikiwa kupunguza kiwango cha gesi ya carbon kwa asilimia 55 kufikia mwisho wa mwaka uliopita.

kra