Familia moja yaomba msaada wa kifedha ili kumwezesha mwanao wa kiume kufanyiwa upasuaji wa moyo

Familia moja ya Kayole inaomba msaada wa kifedha ili kumwezesha mwanao wa kiume kufanyiwa upasuaji wa moyo. Familia ya Naya Thuita Maina mwenye umri wa mwaka mmoja inahitaji shilingi milioni 1.5 kumsaidia kufanyiwa upasuaji katika hospitali ya watoto ya Getrude jijini Nairobi na imetoa wito kwa wahisani kuisaidia.

  

Latest posts

Former police spokesperson Charles Owino to battle it out with Orengo in Siaya Gubernatorial seat

KBC Videos

IEBC cites political interference and budget cuts as major drawbacks to credible elections

KBC Videos

Death toll in Lake Victoria tragedy rises to seven

KBC Videos

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More