Kongamano la saba la Baraza la Magavana laahirishwa

Kongamano la saba na la mwisho la Baraza la Magavana limeahirishwa. Katika taarifa kwa vyombo vya habari, Mwenyekiti wa Baraza la Magavana Martin Wambora amesema Kamati andalizi ya Kongamano hilo la ugatuzi imechukua hatua hiyo kufuatia kuongezwa kwa muda wa masharti ya kudhibiti janga la Korona.

  

Latest posts

Bungoma boda boda operators decry poor state of the roads

KBC Videos

Tension high in Kamae estate, Kahawa West following an eviction notice

KBC Videos

Gubadida irrigation scheme to boost farming among pastoralists

KBC Videos

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More