Home Podcasts Matukio Ya Taifa: Kenya kuanza kuunda simu za rununu mwezi agosti

Matukio Ya Taifa: Kenya kuanza kuunda simu za rununu mwezi agosti

Kenya kuanza kuunda simu za rununu mwezi agosti mwaka huu; Vituo 130 vya kuuza vileo katika kaunti ya meru vyafungwwa huku msako ukiendelezwa nchini; Wakazi wa kaunti ya lamu waombwa kushirikiana na polisi kuangamiza kundi la Alshabaab; na Kwenye rubaa za kimataifa: Rais wa ufaransa emmanuel macron aandaa kikao na baraza lake la mawaziri kujadili machafuko yanayoshuhudiwa nchini.

Channel 1
Website | + posts
kiico