Home Podcasts Matukio ya Taifa: Mafuriko yaua watu 61

Matukio ya Taifa: Mafuriko yaua watu 61

Idara ya utabiri wa hali ya anga imetoa tahadhari kwa kaunti ya kitui na maeneo ya kaskazini mashariki mwa taifa kuwa macho kufuatia mvua kubwa inayotarajiwa kuzidi kuanzia juma hili.

Takwimu za hivi punde kutoka shirika la msalaba mwekundu zinaonyesha takriban watu 61 wamefariki kufikia sasa kutokana na mvua, 235 wakiwa wamejeruhiwa na 8 wakiwa hawajulikani waliko kufikia sasa.

Channel 1

Website | + posts
kiico