Home Podcasts Matukio ya Taifa: Rais William Ruto amekashifu maandamano ya Azimio

Matukio ya Taifa: Rais William Ruto amekashifu maandamano ya Azimio

President William Ruto

Rais William Ruto amekashifu ghasia maandamano ya hapo jana yaliyosababisha vifo na majeraha na uharibifu wa mali nchini.

Maandamano haya yaliyofanywa na muungano wa Azimio yamepelekea nchi kupoteza jumla ya shilingi bilioni tatu kulingana na muungano wa wafanyi biashara wa kibinafsi (KEPSA).

kiico

Previous articleNewsline: President Ruto condemns Azimio demonstrations
Next articleEliminate Non-Tariff Barriers to boost intra-African food trade