Home Podcasts Matukio ya Taifa: Watoto wengi nchini wanapitia dhulma

Matukio ya Taifa: Watoto wengi nchini wanapitia dhulma

Watoto wengi nchini wanapitia dhulma za aina tofauti licha ya kuwepo sheria za kuwalinda. Dhulma za kimapenzi zikitajwa kuwa juu hasa misimu ya likizo.

Kaunti za Nairobi na Kajiado zimeshuhudia visa vya ulanguzi wa mihadarati miongoni mwa watoto huku walio katika mitaa ya makazi duni wakidhulumiwa kwa kuchapwa.

Channel 1

Website | + posts
kiico