Mbio za dunia za chipukizi zapokea udhamini kutoka kwa kampuni ya Safaricom

Kampuni ya Safaricom leo imetangaza udhamini wa shilingi milioni 66.5 wa mashindano ya dunia ya riadha ya chipukizi wasiozidi umri wa miaka 20, yatakayoandaliwa kuanzia tarehe 17 hadi tarehe 22 baadaye mwezi huu uwanjani Kasarani. Kenya ndio mabingwa watetezi wa mashindano hayo baada ya kuongoza jedwali katika makala ya mwaka 2018 jijini Tampere, Finland.

  

Latest posts

CAF Champions League: Tusker FC aims at maximum points when they face Arta Solar

KBC Videos

Kip Keino Classic: Omanyala ready for American Olympic medallist Justin Gatlin

KBC Videos

Kenya men’s volleyball team returns home from Rwanda

KBC Videos

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More