Munuhe amesema hakuna majeraha yoyote kambini

Naibu wa kocha wa timu ya taifa ya ndondi Dave Munuhe amesema hakuna majeraha yoyote kambini huku kikosi hicho kikiimarisha mazoezi yake kabla ya michezo ya olimpiki mjini Tokyo Japan. Hit Squad kwa sasa iko kambini uwanjani Kasarani kabla ya kuondoka humu nchini kwenda Tokyo.

  

Latest posts

Abner Onsomu wins this year’s edition of KPA Golf Day

KBC Videos

FIFA U 20 World Cup qualifier: Rising Starlets brace for Uganda test

KBC Videos

The 2021/2022 FKF premier league season to kick off this weekend

KBC Videos

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More