Pwani FM

Ally B akanusha kumfinya Happy C na ataoa sababu ya kukosa tamasha za Kitaifa

 

Rais wa Ziki la Nazi Ally b akanusha tarifa kuwa alimpiga msaani Happy baada ya kukata kushara kazi yake mpya katika mitandao ya kijamii.

Akizungumza kwenye show ya  Mashav mashav Ally B amesema madai hayo si ya Kweli na kuwa Happy C alitoa kauli hio akiwa na lengo la kuachia wimbo wake.

‘Story kama hizo sipendi kuongelea…. kweli unaweza mshika mtu matai hio utafungua Happy C dogo mzuri na pengine alisema hivyo akitaka kuchia wimbo mpya watu wanajua Ally B ni mtu wa aina gani.” Ally B

Vile vile Ally B amesema kuwa hamna tofauti kati yake na waandalizi wa Tamasha za Kitaifa ambazo Ally B amekuwa kati ya wasaani waliokuwa wakitumbuiza.

Aidha amesema ni Tamasa moja tu alilokosa la mjini Kisumu na ilisababishwa na uwepo wa wasaani wengi kutoka kaunti ya Kismu waliotakiwa kutumbuiza jukuani.

“Nadhani watu wamezunguza hivyo kutokana na show ya kisumu usipiniona live jukuani mara nyingi huwa natumbuiza kwenye state lodge na state House mbeleya wegeni wakati wanapata chakula cha mchana” amesema AllyB

Ameongeza kusema kuwa hajakua akichia video za tamasha hizo kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu wandalizi wa tamasha hizo hawaruhusi simu jukuani mbele ya rais.

Related posts

Mjane anayefua nguo ili kulea watoto wake

Eric Munene

Jovial atoa sababu ya wimbo wao na Otile na ule wa Diamond kufanana

Ken Wekesa

Pwani FM: Zuleikha Hassan atoa wito kwa serikali kuu

Eric Munene

Leave a Comment