Ugonjwa wa Saratani unaendelea kuangamiza idadi kubwa ya Wananchi kote kwa kushindwa kugharamia matibabu. Kwa haya na mengine, sikiliza Matukio ya Taifa…...
“Wanahabari wahimizwa kuzingatia utafiti wa kina huku wakiadhimisha siku ya kitaifa ya kukomesha uhalifu dhidi yao” Haya ni kulingana na Mkurugenzi wa mashtaka ya umma...
“Serikali itatumia njia zote za Kisheria kuhakikisha kadi za huduma zinatumika humu nchini”. Haya ni kulingana na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia, Joe Mucheru. Kwa...
Wito wazidi kutolewa kwa Wakenya kujisajili kuwa wapiga kura huku wazee katika kaunti ya Nyamira wakijitosa kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa zoezi hilo. Kwa haya...