Pwani FM

Chemchemi Ya FurahaYa Linda Mama

Serikali ya Kenya inajizatiti kuhakikisha swala la afya kwa wote linatimizwa kikamilifu hususani kwa upande wakuwalinda kinamama wajawazito ambao inahakikisha wanajifungua salama bila malipo katika hospitali mbalimbali nchini.

Kwa sababu hio serikali mnamo mwaka 2018 ilizindua rasmi mpango wa afya kwa wote moja wapo wa ajenda nne kuu za maendeleo yake rais Uhuru Kenyatta.

Mpango huu ni wakuwasaidia wakenya kupata huduma bora ya afya bila kupitia bugdha ya kifedha.

Wazo la LINDA MAMA lilitolewa mnamo mwaka 2016 lakini likatimizwa rasmi mwaka 2018 ambapo sasa wamama wajawazito nchini hutumia kadi ya linda mama ili kupata huduma za bila malipo kuanzia safari ya kliniki hadi kujifungua kwao.

Related posts

Period man ambaye mkoba wake haukosi visodo

Ken Wekesa

Pwani Mchana: Vijana katika eneo la Changamwe hususan katika wodi ya Chaani walalamikia kutengwa.

Eric Munene

Pwana Mchana :Serikali ya kitaifa imezundua zaidi ya miradi 500

Eric Munene

Leave a Comment