Radio Taifa

KBC Radio Taifa: Wanawake na Uongozi katika Kaunti ya Kisii

Flat illustration with business ladies climbing together on mountain peak top on blue clouded sky background. Team work, achievement, reaching aim, partnership, motivation, support, – metaphor.

Idadi ya wanawake walio katika uongozi hapa nchini ingali katika kiwango cha chini licha ya kuwania nyadhifa mbalimbali za uongozi.

Wanawake katika kaunti ya Kisii wanakumbwa na changamoto kuwania nyadhifa hizo za uongozi.

Bernard Maranga amezuru kaunti hiyo Kisii.

Related posts

Matukio ya Taifa; Hisia mseto kufuatia agizo la kutopokea huduma za umma kwa wale hawatakuwa wamepokea chanjo ya COVID-19.

Minto FM Podcaster 2

Matukio Ya Taifa; Kesi ya rufaa kuhusiana na mchakato wa marekebisho ya katiba wa BBI kusikilizwa Januari mwaka ujao.

Minto FM Podcaster 2

Matukio Ya Taifa; Kuidhinishwa kwa seneta wa Baringo Gideon Moi kuwania urais mwaka ujao kuna changamoto si haba

Minto FM Podcaster 2

Leave a Comment