Aliyekuwa spika wa bunge la Kaunti ya Nairobi, Beatrice Elachi, amefunguka kwamba ilibidi ajiuzulu kama spika wa jiji la Nairobi ili kulinda hadhi yake.
Katika mahojiano yafwatayo kwenye #ZINGAKBC anazungumza na mwnahabari wetu Cynthia Anyango.
SIKILIZA #KisaChanguKBC: Beatrice Elachi afunguka kwa nini alijiuzulu spika wa Nairobi