Dr. Mukhisa Kituyi amesema ari yake ya kuwania urais imechochewa na haja ya kukamilisha safari ya ukombozi walionzisha miaka ya tisini.
Alikuwa akizungumza na mwanahabari wetu Cynthya Anyango kwenye #ZingaKBC. Sikiliza #KisaChangu: Dr Mukhisa Kituyi kuwania urais ili kukamilisha safari ya ukombozi.