Radio Taifa

#MakalaMaalum: Coast Guards waimarisha ziwa Naivasha

Hatua ya serikali ya kuanzisha kikosi cha ulinzi wa bahari yaani Coast Guards imeleta matumaini kwa wavuvi na wakazi waaotegemea ziwa la Naivasha.
Ziwa la Naivasha limekuwa nguzo muhimu katika uchumi wa wavuvi na wakazi wa eneo hilo. Lakini, kama anavyoripoti mwanahabari wetu Bernard Maranga, uvuvi haramu umepelekea ukosefu wa samaki hivyo kuwaathiri wavuvi pakubwa.

Sikiliza: Coast-Guards-Waimarisha-Ziwa-Naivasha.mp3

Related posts

MATUKIO YA TAIFA 22ND JUNE 22; Wakenya waombwa kudumisha amani kabla, wakati na baada ya uchaguzi

Minto FM Podcaster 2

‘Sauti ya mwanamke imeanza kusikika katika jamii za kuhamahama humu nchini” Margaret Njuguna.

Minto FM

MATUKIO YA TAIFA; Kenya na Somalia zapaswa kuimarisha uhusiano kati yao licha ya uamuzi wa mahakama ya ICJ

Minto FM Podcaster 2

Leave a Comment