1 . Wananchi wanaendelea kulalamikia ongezeko la bei ya bidhaa za kimsingi nchini.
2. Polisi eneo bunge la Teso kusini kaunti ya Busia wamenasa lori iliyokuwa imebeba bidhaa za magendo.
3. Baraza la kitaifa la makanisa NCCK limeendelea kueneza ujumbe wa amani huku baraza la maaskofu likiandaa maombi huko taita taveta.
KWENYE RUBAA ZA KIMATAIFA:………Mwanawe rais wa Uganda afikishwa mahakamani kwa kutaka kuwa rais wa nchi hiyo.