Radio Taifa

MATUKIO YA TAIFA 11TH MAY 2022

1 . Huenda wanafunzi waliofanya vyema katika mtihani wa KCPE katika kaunti ya Busia wakakosa kujiunga na shule za upili.

2.Huenda soko la yala likafungwa iwapo wanabiashara hawatazingatia usafi wakati huu wa mvua

3.Wanafunzi watatu huko makueni wanazuiliwa na polisi kwa tuhuma za kutaka kuchoma bweni

KWENYE RUBAA ZA KIMATAIFA:…………
Urusi yalenga mji wa Odesa huko Ukrain kwa makombora huku vita baina ya mataifa hayo mawili yakiendelea

Related posts

Matukio Ya Taifa; “Kenya itaendelea kulinda mipaka yake kwa vyovyote vile” Rais Uhuru Kenyatta

Minto FM Podcaster 2

Matukio ya Taifa; Kanuni kufuatwa kikamilifu Wakati wa sherehe za Jamhuri.

Minto FM Podcaster 2

Matukio ya Taifa; Vurugu zashuhudiwa katika kura za mchujo za UDA.

Minto FM

Leave a Comment