Radio Taifa

MATUKIO YA TAIFA 16TH SEPT 22; Wanafunzi waathithirika kurejea manyumbani baada ya kukosa usafiri kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta

1. Mwanafunzi huko Turkana ajitoa uhai baada ya kukosa kufanya vizuri shuleni
2. Wawakilishi wadi kuwachagua maspika wa mabunge ya kaunti juma lijalo
KWENYE RUBAA ZA KIMATAIFA……
Watu wenye silaha kaskazini-magharibi mwa Jimbo la Katsina nchini Nigeria wawateka nyara takriban raia 50 kutoka kijiji kimoja usiku wa kuamkia leo

Related posts

MATUKIO YA TAIFA 19TH AUGUST 22; Serikali imetumia bilioni 3.3 kwa matayarisho ya mtaala wa CBC.

Minto FM Podcaster 2

Matukio ya Taifa; Wazazi walalamikia hali ngumu ya maisha huku shule zikifunguliwa wiki hii.

Minto FM

MATUKIO YA TAIFA; Kenya na Somalia zapaswa kuimarisha uhusiano kati yao licha ya uamuzi wa mahakama ya ICJ

Minto FM Podcaster 2

Leave a Comment