Radio Taifa

MATUKIO YA TAIFA 1ST SEPT 22; Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais yaendelea kusikizwa leo katika mahakama ya upeo nchini

1. Wanachama wa kikundi Cha Amboseli eneo la Sikujua huko Voi wanakadiria hasara baada ya mbuzi wao kuvamiwa na kuuawa na simba usiku wa kuamkia leo
2.Wananchi waendelea kuhimizwa kuwa watulivu huku kesi ya kupinga matokeo ya urais ikiendelea katika mahakama ya upeo nchini
KWENYE RUBAA ZA KIMATAIFA…
Vikosi vya Ulinzi vya Tigray vyashutumu Eritrea kwa kuanziasha mashambulizi

Related posts

Matukio Ya Taifa; Rais Uhuru Kenyatta atia sahihi ya makubaliano ya kiuchumi na taifa la Malawi.

Minto FM Podcaster 2

Radio Taifa: #Covid19 yatatiza juhudi za kupambana na Ukimwi

English Service Podcaster

Matukio ya Taifa; Ukatili dhidi ya wanawake uliongezeka kutokana na janga la COVID-19

Minto FM Podcaster 2

Leave a Comment