1. Sherehe ya siku ya wakimbizi yafanyika huko Turkana.
2. Wazazi wa Isiolo walalamika kuhusu wanafunzi kutoenda shule na kushiriki kwenye kampeni za siasa.
3. Mali ya kanisa ya thamani isiyojulikana yaporwa huko Bungoma
KWENYE RUBAA ZA KIMATAIFA
Afrika yalenga kuvumbua chanjo ya kwanza ya COVID- 19.