Radio Taifa

MATUKIO YA TAIFA 23 MAY 22; . Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka amewasilisha sahihi za wapiga kura wanaounga mkono azma yake ya urais kwa IEBC

1. Mwanafunzi wa miaka 16 aaga dunia katika shule ya upili ya Nyakemincha
2. Mali ya thamani isiyojulikana yaibwa katika kanisa la Neema huko Busia
KWENYE RUBAA ZA KIMATAIFA…… Wanahabari wa kike wa runinga huko Afganistan watakiwa kufunika nyuso zao wanapokuwa hewani kulingana na amri mpya ya utawala wa Talibana.

Related posts

MATUKIO YA TAIFA 20TH JUNE 22; Sheria ya wakenya kuvaa barakoa yarejea baada ya visa vya maambukizi ya covid-19 kupanda nchini.

Matukio ya Taifa; Maafisa 2,000 wa polisi hawana akili timamu kuhudumu katika idara hiyo.

Minto FM

Matukio ya Taifa; Wakenya wengi wajitokeza katika bunge la kitaifa kumpa mkono wa buriani Hayati Mwai Kibaki.

Minto FM

Leave a Comment