Radio Taifa

MATUKIO YA TAIFA 24TH MAY 22; Serikali kuanzisha mpango wa matibabu kwa njia ya simu kote nchini.

1. Shughuli za masomo katika shule ya upili ya wasichana ya Milo huko Webuye zasitishwa kwa muda kutokana na maandamano.
2. Mwanamme mwenye umri wa miaka 19 huko Busia ajitia kitanzi.

KWENYE RUBAA ZA KIMATAIFA……
Zaidi ya watu 30 wameripotiwa kutoweka katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria baada ya kushambuliwa mwishoni mwa wiki

Related posts

‘Sauti ya mwanamke imeanza kusikika katika jamii za kuhamahama humu nchini” Margaret Njuguna.

Minto FM

MATUKIO YA TAIFA 27TH JUNE 22; Mfumuko wa bei ya bidhaa muhimu nchini wazidi kuwaathiri wakenya

Matukio ya Taifa; ‘Shughuli ya upatanisho kati ya rais Uhuru na Naibu wake Ruto zaendelezwa’

Minto FM Podcaster 2

Leave a Comment