Radio Taifa

MATUKIO YA TAIFA 26TH JULY 22; Wakongwe waendelea kuhangaika nchini kutokana na kupanda kwa uchumi nchini

1. Kaunti ya garisa yaanzisha chanjo dhidi ya homa ya manjano
2. Serikali kutuma zaidi ya maafisa 2000 wa polisi katika vituo vya kupigia kura huko Baringo
KWENYE RUBAA ZA KIMATAIFA……
Nafaka za Ukraine zinatarajiwa kusafirishwa kwenye soko la kimataifa wiki hii licha ya Urusi kuvamia bandari ya Odesa

Related posts

Radio Taifa: Maambukizi ya HIV kwa Vijana wakati wa Covid-19

English Service Podcaster

MATUKIO YA TAIFA 7TH JULY 22; Ulimwengu waadhimisha siku kuu ya kiswahili

Matukio ya Taifa; IEBC inajiandaa kuanza zoezi la kupekua sajili ya wapiga kura.

Minto FM

Leave a Comment