Radio Taifa

MATUKIO YA TAIFA 29TH JUNE 22; Baadhi ya wakenya watoa hisia mseto kutokana na mahojiano kati ya mgombea wa urais Raila Odinga na mgombea mwenza

1. Walimu wapinga hatua ya kupunguza siku za michezo na shughuli za ziada kwenye mtaala wa elimu
2. Biashara ndogo na za kadri zatakiwa kuangazia mikopo ya kibenki baada ya kuathirika vikali na janga la covid19.

KWENYE RUBAA ZA KIMATAIFA:….
Mahakama moja ya Misri yawahukumu wanamgambo kumi wa kiislamu kutokana na visa vya ugaidi….

Related posts

Matukio Ya Taifa: Wadau wa Elimu kujadili mbinu za kuboeresha Mtaala mpya wa elimu wa CBC

Minto FM Podcaster 2

Matukio Ya Taifa; Wakenya wafurahishwa na uteuzi wa Askofu mkuu Philip Anyolo kusimamia dayosisi ya Nairobi.

Minto FM Podcaster 2

MATUKIO YA TAIFA 25TH AUGUST 22: . Rais mteule Dkt William Ruto awapongeza magavana saba wanawake.

Minto FM Podcaster 2

Leave a Comment