Radio Taifa

MATUKIO YA TAIFA 2ND SEPT 22; Baadhi ya viongozi wa kidini watoa wito wa utulivu na amani kabla ya uamuzi wa mahakama ya juu.

1.Onyo la usafiri lililotolewa na ubozi wa marekani katika kaunti ya kisumu lapingwa na viongozi wakike
2.Wazazi watakiwa kushirikiana na walimu kufanikisha mtaala mpya wa CBC.
KWENYE RUBAA ZA KIMATAIFA…
Chama kikubwa zaidi cha upinzani nchini Angola UNITA chawasilisha kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi.

Related posts

Matukio ya Taifa; Viongozi katika kaunti ya Turkana walalamikia mauaji ya zaidi ya watu kumi eneo bunge la Kainuk.

Minto FM

MATUKIO YA TAIFA 19TH 22; Wakenya waendelea kuirai serikali kupunguza bei ya bithaa zingine muhimu

Matukio ya Taifa; EACC yapuuzilia mbali madai ya kuwahangaisha wanasiasa.

Minto FM

Leave a Comment