1. Taasisi ya Kimataifa ya Republican na ile ya National Democratic Institute wakutana kufuatia uchaguzi mkuu wa Agosti tisa.
2. Muungano wa Azimio La Umoja hii leo wapeleka kampeni zao katika kaunti ya nyeri.
KWENYE RUBAA ZA KIMATAIFA…..
Wanajeshi kumi na mmoja wa bukina faso wameuwawa kwenye shambulizi, mashariki mwa nchi hiyo