Radio Taifa

MATUKIO YA TAIFA: “Serikali imepiga hatua kubwa katika kukabiliana na changamoto mbalimbali za kijamii, kiuchumi na kisiasa” Rais Uhuru Kenyatta.

Serikali imepiga hatua kubwa katika kukabiliana na changamoto mbalimbali za kijamii, kiuchumi na kisiasa tangu mwaka wa 2013″ Rais Uhuru Kenyatta. Wakati huo huo, hotuba ya Rais kwa taifa inaendelea kuvutia hisia mseto.

Related posts

Radio Taifa: Serikali Iwasaidie Kifedha Wanariadha Wakati Huu wa Corona Asema Bingwa wa Dunia Hellen Obiri

English Service Podcaster

Serikali kutambua wauguzi kupitia tuzo za Beyond Zero Health Awards

John Madanji

Matukio Ya Taifa; Sekta ya Kibinafsi kupeana chanjo ya COVID-19

Minto FM Podcaster 2

Leave a Comment