Radio Taifa

Matukio ya Taifa; Waendeshaji bodaboda wana jukumu la kuendeleza Amani” PS Kibichu

Matukio ya Taifa: Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Karanja Kibichu amehimiza waendeshaji bodaboda kuendeleza amani Kenya inapoelekea kwa Uchaguzi Mkuu mwaka ujao. Kwa haya na mengine, sikiliza matukio ya Taifa.

Related posts

Serikali kutambua wauguzi kupitia tuzo za Beyond Zero Health Awards

John Madanji

Matukio Ya Taifa; Jisajili kuwa wapiga kura, wakenya wahimizwa.

Minto FM Podcaster 2

Matukio ya Taifa; Serikali kurejesha karantini wageni wanapoingia nchini baada ya aina mpya ya virusi vya COVID-19 ‘OMICRON’ kuibua wasiwasi.

Minto FM Podcaster 2

Leave a Comment