Wakenya inafaa waimarishe juhudi za kuwahifadhi ndovu wanaoendelea kupungua nchini. Haya yamesemwa na afisa mkuu mkuu Mtendaji wa Kituo cha uhifadhi wa ndovu, Elephant Neighbors Center ambaye pia anaendeleza uhamasisho wa kuwalinda wanyama hao na uhifadhi wa mazingira, Jim Nyamu.