Gavana wa Taita taveta Granton Samboja asifiwa kwa kumteua aliyekuwa Meya wa voi kama naibu wake kwenye uchaguzi mkuu ujao
Kaunti ya Kakamega ikishirikiana na vikundi vya wakulima imezindua mradi wa kujenga vidimbwi vya samaki
KWENYE RUBAA ZA KIMATAIFA…. Mahakama ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imemhukumu kifo polisi wa ngazi ya juu kwa kuhusika na mauaji ya mwanaharakati wa haki za binadamu