1. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia Joe Mucheru amefungua rasmi kongamano la ulinzi na uzingatiaji wa data hivi leo.
2. Wafanyabiashara wa samaki huko busia waruhusiwa kuuza samaki nchini Rwanda na DRC bila vikwazo vyovyote.
KWENYE RUBAA ZA KIMATAIFA:
Rais wa Ukrain aambia umoja wa Afrika kuwa bara hili ni mateka wa vita vya Urusi nchini Ukrain.