
MCSK, PRISK, KAMP wapinga fumo wa ugavi wa 100M kwa wasaani.
Vyama vinavyo simamia mziki nchini Kenya MCSK, PRISK na KAMP vimepinaa njia iliotumiwa na wizara ya michezo kutoa mgao wa shilling million 100 alizowaahidi wasaani nchini Kenya Rais Uhuru Kenyatta.
Waziri waMICHEZO Amina Mohammed siku ya jumatatu alisema kuwa mgao huo utatolewa chini ya mpango work for payambao utawalipa wasaani baada ya kuachia maudhui yatakayo waburudisha na kuwaelimisha wa Kenya kuhusiana na janga la Covid a9.
Aidha katika kikao na wandisha wa habari vyama vya mziki nchini CMOS vimesema kuwa wao ndio wana uwezo wakugawanya fedha kwa wasaani kutokna na wao kuwa na zaidi ya waasani 20,000 waliosajiliwa katika vyma vyao.
Kwa sasa CMOs zimetaka kujumuishwa katika mpango wa kutoa hela hizo.
Miezi kadhaa iliopita baadhi ya wasaani nchini wameonekana kupinga mfumo na ugavi wa mapato ulikuwa unatolewa na CMOs nchini Kenya.
