Serikali ya kitaifa imezundua zaidi ya miradi 500 katika ukanda wa pwani kwa kipindi cha miaka 7 iliyopita huku baadhi ya miradi hiyo ikiwa imekamilika.
Wawakilishi wa wadi katika bunge la Kaunti ya Kilifi wamemtaka waziri wa Fedha kwenye kaunti hiyo Samwel Nzai kutoa hesabu kamili jinsi pesa zilizo tengewa vita dhidi ya Janga la Korona zilivyoetumika hata baada yake kuwasilisha ripoti hiyo leo katika bunge hilo.
Zaidi ya walimu 200 wa shule za kibinafsi kaunti ya Taita Taveta wanakila sababu ya kutabasamu baada ya muhisani mmoja kujitiolea kuwalipia malipo ya nyumba ya miezi sita waliyokuwa wakidaiwa kama wapangaji.