Radio Taifa

Nakuru sasa ni jiji la nne la Kenya; inajiunga rasmi na Nairobi, Mombasa na Kisumu katika safu ya jiji.

Mnamo tarehe 3 Juni 2021, Seneti ya Kenya ilipiga kura kwa wingi mno kupitisha ripoti ya Kamati ya Ugatuzi na Uhusiano wa Kiserikali kuinua Nakuru hadi hadhi ya jiji.

Ungana nami kwenye makala haya maalum, Jina langu ni Issack Asugo Lemorogo.

Related posts

Matukio ya Taifa; Jaji mkuu Martha Koome awataja Majaji Watakaosikiliza Kesi ya Kutaka Kusimamisha mtaala wa CBC.

Minto FM Podcaster 2

Franscis Wanderi, Kamishna IEBC azungumzia zoezi la usajili wa wapiga kura

Radio Taifa

#YALIYOTUKIA: Hofu kuhusu Maambukizi ya HIV miongoni mwa Vijana

John Madanji

Leave a Comment