Newest Episode Pwani FM

Pwani FM: Dkt. Mutua asema China yabagua Waafrika sababu ya umaskini

Gavana wa Machakos Dkt. Alfred Mutua ameeleza kuwa Wachina wanawadhulumu Wakenya na Wafrika kwa sababu bara lina umaskini, tunadharauliwa kwa sababu Afrika kuna rasilimali na hatuwezi kuzitumia.

Akizungumza kuhusu Covid-19, amemwelezea Delila Athman mwanahabari wa Pwani FM kuwa Kaunti ya Machakos imewakataza madereva wa malori kukaa zaidi ya dakika 30 katika kaunti hiyo ili kuzuia kusambazwa kwa virusi vya Corona.

Related posts

Real men like Pday do this always

Eric Munene

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amefariki

Eric Munene

Kitwek FM: Ng’alaletab ofisaiyat nebo kibakengeitab Digital Literacy Program kotinygei ak somanet eng oret nebo muswoknotetan kasari

English Service Podcaster

Leave a Comment