Newest Episode Pwani FM

PWANI FM: Joho asema tabia ya watu wetu kutangamana na kupuuza Social distancing ndio inaendeleza maambukizi ya COVID 19.

 

Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho asema wakaazi wa Mji wa Kale   watazuia kutoka nje endapo maambukizi ya Covid 19 yataendelea kutokana na wakaazi kupuuza kutangamana.

Gavana Joho anaelezea kuwa Mji wa Kale kwa sasa limetambuliwa kama eneo la maambukizi huku Mombasa ikirekodi visa vingi vya maambukizi baada ya jiji la Nairobi. 

Pia ametilia shauku kuhusiana na watu kudinda kuenda kujitokeza kupimwa baada ya kaunti ya Mombasa kuzindua shughuli ya upimaji eneo hilo.

Gavana huyu asema watalazimika kufuata watu majumbani iwapo hawatajitokeza. 

Related posts

KBC English Service – Child adoption in Kenya

Carolyne Gachacha

Makala: Njaa Yang’ata Kilifi

Ken Wekesa

Mayienga FM: #SportsLive – Dr. Ambrose Rachier – jakom mar Gor mahia FC loso ewi chal mar weche mag tuke e piny Kenya

English Service Podcaster

Leave a Comment