Newest Episode Pwani FM

Pwani FM: Kanisa la Catholic diosis ya Mombasa latoa ahadi ya kuunga mkono upmwaji lazima wa virusi vya corona.

Kwenye mahojiano na Ibrahim Nyundo kwenye burudani mseto
Mwenyekiti wa kamati ya kukabiliana na majanga katika kanisa hilo Father Henry Ndune amesema kanisa halitafumbia macho tabia zinazozidi kuhatarisha maisha ya wengi, akiyataka madhehebu mbali mbali kujitokeza kuiunga mkono serikali ya kaunti ya Mombasa kushinikiza uzuiaji wa maambukizi ya virusi hivyo

Related posts

KBC English Service: Maths connection to daily life

Carolyne Gachacha

Dry spell ya 3 weeks!!.. Baba Ladasha, it’s not fair!

Eric Munene

Covid 19 ni ugonjwa ulioathiri ulimwengu mzima.

Eric Munene

Leave a Comment