
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli amekiri mwanawe kupata virusi vya korona na kupona virusi hivyo baada ya kujifungia kwenye chumba na kujifukizia, akanywa malimao na Tangawizi na akiri kuwa kwa sasa yuko mzima na kuwa huo ndiyo ukweli.