Newest Episode Pwani FM

Pwani Mchana: Gavana wa kaunti ya Mombasa Hassan Ali Joho ameahidi kujenga soko la kisasa

Seneta wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja ametozwa faini ya shilingi 15,000 au atumikie kifungo cha miezi mitatu gerezani  . 
 
Gavana wa kaunti ya Mombasa Hassan Ali Joho ameahidi kujenga soko la kisasa katika eneo la majengo litakalotoa nafasi nyingi kwa wafanyibiashara hadi nje ya Mombasa.Chama cha wazazi nchini kimetoa wito kwa wazazi kuendelea kusaidia na kushirikiana na shule wakati huu wa janga la  COVID 19

Related posts

Pwani Mchana: Mama na wanawe wawili wameteketea hadi kufa ndani ya nyumba moja ya kukodi katika mtaa wa Jitoni

Eric Munene

KAMWE SISTAAFU KATIKA MUZIKI

Eric Munene

Mayienga FM: Twak kod Collins Otieno ewi weche arita mag aluora

English Service Podcaster

Leave a Comment