Newest Episode Pwani FM

Pwani Mchana: Hatimaye naibu wa rais Dkt. William Ruto amesema mipango inafanywaNaibu wa rais Dkt. William Ruto amesema mipango inafanywa kuratibu mkakati wa ufufuzi wa uchumi baada ya janga la COVID-19.

Baadhi ya wakaazi wa kaunti ya Kwale wamedai kukosa huduma muhimu za afya katika hospitali ya Kwale kufuatia mkurupuko wa virusi vya corona

Related posts

Boss wa WCB Diamond Platinumz amempiga bonge la surprise msanii mpya katika recording lebel Zuchu

Eric Munene

Pwani Jioni : Familia moja yalilia haki huko Kwale

Eric Munene

Pwani Mchana: Vijana katika eneo la Changamwe hususan katika wodi ya Chaani walalamikia kutengwa.

Eric Munene

Leave a Comment