Newest Episode Pwani FM

Pwani Mchana: Kamanda wa Polisi athibitisha kukamatwa kwa watu 21 kwa mauwaji ya polisi RabaiKenya yafikisha watu 194 waliopoteza maisha kutokana na mafuriko baada ya 30 zaidi kupoteza maisha  masaa 48 yaliyopi.

Mshirikishi wa Serikali ya Kitaifa Kanda ya Pwani John Elungata awataka wananchi wa Ukanda huu kuacha dhana mbaya na badala yake kujitokeza kupimwa virusi vya Covid-19.

Kamanda wa Polisi Kaunti Ndogo ya Rabai James Mogera alithibitisha kukamatwa kwa watu 21 wanaoshukiwa kutekeleza mauwaji ya afisa wa polisi huko Rabai .

Msomaji ni Mkanyika Jilo.

Related posts

KBC English Service: #ScienceIsLife – Dr. Alix Dehayem, a Nuclear Physicist discusses Physics and real life

English Service Podcaster

Pwani Mchana: Kiongozi wa wengi katika bunge la taifa Aden Duale amenusurika mabadiliko ya uongozi yanayofanywa katika chama cha Jubilee.

Ken Wekesa

Pwani FM: Wazee wa Kaya wamtaka Gavana Kingi kuishauri serikali kuu kutumia mitishamba kukabiliana na Korona

Eric Munene

Leave a Comment