Newest Episode Pwani FM

Pwani Mchana: Mbunge wa Matuga Kassim Tandaza asema wabunge wapwani wameshindwa kukubaliana

Mfanyabiashara mmoja maarufu katika kaunti ya  Mombasa anayetuhumiwa kuwaibia kwa njia ya ulaghai watu kadhaa mamilioni ya pesa,amefikishwa katika mahakama  ya Shanzu.

Baraza la kitaifa la ushauri kwa waislamu nchini KEMNAC limetaka utumizi wa mitandao ya ngono kupigwa marufuku na serikali kama njia mojawapo ya kuzuia ongezeko la visa vya mimba za mapema.

Mbunge wa Matuga Kassim Tandaza asema wabunge wapwani wameshindwa kukubaliana kufanya mkutano ili kumchagua Mwenyekiti wa wabunge wa wapwani baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wao Suleiman Dori kufariki.

Related posts

Coro FM: Unduire – irua 2021 part 7: nī irua rīa ūūmū kana nī irua rī ndemengo??

English Service Podcaster

Pwani mchana : Shule za msingi na upili kuwarudishia wazazi pesa zao

Eric Munene

KBC English Service: #ScienceIsLife – Dr. Menge highlights the use of Mathematics in real-life situations

English Service Podcaster

Leave a Comment