
Mchakato wa kumbandua gavana wa kaunti ya Kirinyaga Ann Mumbi Waiguru umeng’oa nje ya majengo ya bunge la kaunti hiyo,huku jumla ya wawakilishi wadi 25 kati ya 33 wakiwa wamehudhuria kikao cha leo.
Vijana katika eneo la Changamwe hususan katika wodi ya Chaani walalamikia kutengwa na serikali katika nafasi za ajira kwa vijana