Newest Episode Radio Taifa

Radio Taifa: Bajeti ya Mwaka wa 2021

Bajeti ya Mwaka wa 2021 iliwasilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Ukur Yatani.

Radio Taifa iliwahoji Eunice Nyambura ambaye ni Mkaguzi kutoka  katika Mamlaka ya Udhibitiwa Vyama vya Ushirika(SASRA) na Isabell Juma,  Mhasibu kutoka Taasisi ya Wahasibu almaarufu ICPAK pia Mwenyekiti wa Wahasibu wa Kike Nchini (Association of Women Accountants in Kenya).

Related posts

Jukumu la Mkenya katika kupambana na rushwa

Pwani FM: Dkt. Mutua asema China yabagua Waafrika sababu ya umaskini

English Service Podcaster

Pwani FM: Magufuli asema mtoto wake aliyekuwa na Corona amepona, chapeni kazi…

Ken Wekesa

Leave a Comment