Radio Taifa

Radio Taifa: Maambukizi ya HIV kwa Vijana wakati wa Covid-19

Wakati huu ambapo shule zimefugwa baada ya homa ya Covid-19, vijana wengi wanaobaleghe hawana kazi ya kufanya.

Sasa wanajihusisha na mienendo isiyofaa ikiwemo ngono za mapema. Hii inawaweka katika hatari ya kuambukizwa virusi vya HIV na mimba za mapema.

Ungana na Bernard Maranga akiangazia kitisho kinachowakumba vijana hao magharibi mwa Kenya.

Related posts

Radio Taifa: Jinsi bodaboda zinavyoepusha vijana na uhalifu na utovu wa nidhamu

English Service Podcaster

Radio Taifa: Mahojiano na Rais Uhuru Kenyatta kuhusu Covid-19

English Service Podcaster

KBC Radio Taifa: Wakenya wahimizwa kukumbatia Mradi wa kumiliki nyumba kwa bei nafuu

English Service Podcaster

Leave a Comment