Radio Taifa

Radio Taifa: Makala ya matukio muhimu mwaka huu wa 2020

Hayati Daniel Moi. Picha/Hisani

Miongoni mwa habari zilizogonga vichwa ni pamoja na kuenea kwa virusi vya korona nchini, Kuaga dunia kwa Rais mstaafu Daniel Moi, kuzinduliwa kwa BBI na pia Kustaafu kwa Jaji mkuu David Kenani Maraga.

Kwa mengi zaidi ungana na Bernard Maranga kwa mkusanyiko huu saa 6: 30 jioni Jumatatu hii na Alhamisi Saa 8 :30pm.

Related posts

Matukio Ya Taifa; Sekta ya Kibinafsi kupeana chanjo ya COVID-19

Minto FM Podcaster 2

Radio Taifa: #Covid19 yatatiza juhudi za kupambana na Ukimwi

English Service Podcaster

Radio Taifa: Wanawake katika uongozi

English Service Podcaster

Leave a Comment