Radio Taifa

Radio Taifa: Mhubiri Rev. Lucy Natasha asihi makanisa yasaidie serikali kupambana na Covid-19

Rev Lucy Natasha.

Mhubiri mashuhuri na anayejivunia kuwa na idadi kubwa ya wafuasi kupitia mitandao ya kijamii Dkt. Rev Lucy Natasha amesema kanisa linapaswa kuisaidia serikali kupambana na virusi vya korona nchini.

Natasha kupitia kwa wakfu wake wa ‘Natasha Hand of Compassion’ tayari ametoa msaada wa vyakula kwa familia zaidi ya 3,000 za mitaa ya mabanda hapa Nairobi.

Hivi sasa analenga kufikia familia 6,000 kwa kuwapa vyakula, barakoa na bidhaa nyingine za matumizi.

Natasha alizingumza na ripota wetu Dismus Otuke.

Related posts

Yaliyotukia: Je, Sektaya Bodada imesaidia vipi uhifadhi wa mazingira?

English Service Podcaster

Matukio ya Taifa: Kenya yatenga zaidi ya Billioni 1.5 kukabiliana na njaa

English Service Podcaster

Radio Taifa: Serikali Iwasaidie Kifedha Wanariadha Wakati Huu wa Corona Asema Bingwa wa Dunia Hellen Obiri

English Service Podcaster

Leave a Comment