Newest Episode Radio Taifa

Radio Taifa: Serikali Iwasaidie Kifedha Wanariadha Wakati Huu wa Corona Asema Bingwa wa Dunia Hellen Obiri

Hellen Obiri. Photo/Hisani

Bingwa mara mbili  wa  dunia katika mbio za mita elfu tano Hellen Obiri ameiomba serikali kupitia kwa wizara ya michezo kuendelea kuwasaidia wanariadha wanaojitegemea ,kwa kuwapa hele za kujikimu wakati huu ulimwengu unapopambana na janga la ugonjwa wa Covid 19.

Kwenye mahojiano na radio taifa Obiri ambaye pia ni bingwa mtetezi wa mbio za nyika amesema angali na azma ya kushiriki michezo ya olimpiki mwaka ujao mjini Tokyo Japan na pia kutetea taji yake ya mita 5000 katika mashindano yam waka 2021 mjini Oregon Marekani.

Related posts

Pwani Fm Viwanjani:Kalidou Koulibaly si wa bei ya kutupa

Eric Munene

Pwani Mchana: Gavana wa kaunti ya Mombasa Hassan Ali Joho ameahidi kujenga soko la kisasa

Eric Munene

Chungeni sana ama nikuje niwafagilie nyinyi wote.. Khaligraph Jones warns Wasafi Record lebel artist Mbosso n Lavalava

Eric Munene

Leave a Comment